Jumuiya ya ECOWAS imetangaza kuiondolea vikwazo vikali Niger, wakati ikitafuta mkakati mpya wa kuyazuia mataifa matatu yanayotawaliwa kijeshi kujiondoa kwenye Jumuiya hiyo ya kiuchumi. Kujiondoa ...
Kwa kurejea kwa kuweka makataa madhubuti ya uchaguzi wa Februari 2024, serikali ya Mali imefanikiwa kukomesha vikwazo vilivyowekwa na Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (Ecowas).
ambazo sasa zimeungana katika shirikisho linalofahamika kama Muungano wa Nchi za Sahel (AES), zinaishutumu ECOWAS kwa kuziwekea vikwazo walivyovitaja kuwa vya "kinyama, haramu na visivyo halali ...