Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA Tundu Lissu, Jumatatu amepandishwa kwa mara ya kwanza kwenye Mahakama Kuu kunakosikilizwa kesi ya uhaini inayomkabili. Kesi hiyo hata ...
Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam, imetupilia mbali pingamizi la Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, katika kesi ya uhaini inayomkabili. Katika uamuzi huo ...
Leo, Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam imesoma shitaka linalomkabili Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanzania, Chadema, Tundu Lissu, katika kesi ya uhaini. Lissu amesomewa shitaka ...
Akitangaza tarahe ya kuanza kwa kesi hiyo, jopo la majaji watatu wakiongozwa na jaji Dustin Nduguru, alisema kesi hiyo itaanza kusikilizwa mfululizo kuanzia tarehe 6 ya mwezi ujao, ambapo upande wa ...
Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania, chadema-Tundu Lissu amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambako kesi yake ya uhaini na uchochezi zikisikilizwa katika mahakama ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results