Maelezo ya picha, Ikiwa hautaupa udongo fursa ya kupona na ikiwa unauharibu mara kwa mara, uzalishaji wa kilimo hautawezekana katika udongo huo. Iliyochapishwa 27 Oktoba 2022 Wakulima walikuwa ...
Kilimo cha mjini katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi ni njia mojawapo inayotumiwa na baadhi ya vijana kukabiliana na kupanda kwa gharama za Maisha. Kwa kawaida kilimo hufanyika zaidi vijijini. Janga la ...
Mji mkuu wa Rwanda, Kigali, umeanza kuchukua hatua za kulinda ardhi ya kilimo kwa usalama wa chakula, licha ya ongezeko la kasi la idadi ya watu. Sera, ubunifu na teknolojia vinasaidia kukabiliana na ...
Mafunzo ya usimamizi wa ngombe na kilimo cha nyasi za kisasa zinazoimarisha afya ya mifugo vimewabadilishia maisha. Mpango huo unadhamiria kuimarisha miradi ya kilimo na mbinu za kuhimili mabadiliko ...
Serikali imetangaza kaunti 14 kuwa miongoni mwa zilizoathirika zaidi na kiangazi kufuatia mvua chache iliyonyesha msimu uliopita. Kutokana na hali hiyo, baadhi ya shule nchini zimeanza kuwekeza katika ...