Jabali la muziki wa Taarabu, Mzee yusufu, anarejea katika uringo wa muziki wa taarabu. Kwanini anarejea wakati alishatangaza, kuachana na tasnia hiyo na kwenda kumtumikia maulana, ungana na Sudi ...