Chama kikongwe zaidi cha ukombozi barani Afrika kiko taabani na huenda kikapotea kama vyama vingine vya aina hiyo barani Afrika. Chama cha African National Congress (ANC) - kilichoanzishwa nchini ...