Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.
Yanga itaanza kutetea taji lake la Shirikisho la CRDB kwa kukabiliana na Cosmopolitan wiki ijayo kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam. Mchezo huo ni wa hatua ya 64 bora ya mashindano hayo ...
Habari Kitaifa Kimataifa Biashara Makala Michezo Kolamu Hadithi Picha Video Toleo Maalumu Zanzibar Ajira Sokoni Notisi Zabuni Mafumbo MwanaClick Contact us Web Mail ...
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda na Naibu wake, Hamis Mwinjuma maarufu Mwana FA kuacha malumbano na badala yake washirikiane ...
Dar es Salaam. Takribani mikoa sita nchini inayopata mvua mara mbili kwa mwaka, ukiwamo Dar es Salaam, inatarajiwa kupata mvua za wastani hadi juu ya wastani wakati wa msimu wa Masika unaotarajiwa ...
Dar es Salaam. Zaidi ya Sh19 milioni kati ya Sh41 milioni zilizochangwa na Watanzania kwa ajili ya kumsaidia Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu zimepigwa na wajanja ...
Ofisa Mtendaji wa Hospitali ya Aga Khan Sisawo Konteh (kushoto) akikabidhiana nyaraka na Mkurugenzi mtendaji wa Hospitali ya Rufaa Kanda Mbeya Dk Godlove Mbwanji baada ya kusaini makubaliano ya ...
Dodoma. Hukumu ya kesi ya jinai ya kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam itatolewa Septemba 30, 2024. Kesi hiyo ya jinai namba 23476 ya ...
Mbeya. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya memhukumu kutumikia kifungo cha miaka mitatu nasiku 14 jela, Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile (39) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kuendesha huduma ya kikosi ...
Njombe. Serikali imetakiwa kuunga mkono juhudi za wawekezaji ambao wameonyesha jitihada katika shughuli za maendeleo kwa kuboresha miundo mbinu muhimu inayoelekea katika maeneo ya uzalishaji ili ...
Mbeya. Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Wilaya ya Rungwe, Award Karonga kwa tuhuma mbalimbali za kijinai ikiwamo uchochezi. Karonga ambaye pia ni ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results