Rais wa Marekani Donald Trump amesema ameiagiza Wizara ya Ulinzi kuanza mara moja kufanya majaribio ya silaha za nyuklia "sawa sawa" na silaha zingine zenye nguvu. Na Asha Juma & Mariam Mjahid Chanzo ...
Rais Donald Trump ameonya makubaliano ya usitishaji mapigano yasihujumiwe lakini ameongeza kuwa Israel ina haki ya kuchukua ...
Tangu kuanguka kwa jiji la El-Fasher mikononi mwa Rapid Support Forces (RSF) ambavyo ni vikosi vya waasi vya Sudan, maelfu ya raia wamekimbia jiji hilo. Wote wameripoti ukiukwaji wa haki za binadamu ...
Mradi wa Uendelezaji wa Miji na Majiji Tanzania (TACTIC) unatekeleza miradi yenye thamani ya Shilingi bilioni 51 katika Jiji la Arusha ikiwa ni sehemu ya uendelezaji wa Jiji hilo katika eneo la ...
NI miaka 28 tangu ajali ya meli ya Mv Bukoba ilipotea katika Ziwa Victoria, nchini. Zaidi ya watu 800 walipoteza maisha. Iliweka rekodi ya dunia kuwa miongoni mwa ajali za chombo cha usafiri wa majini ...
The 26th edition of the event set to unspool between 7 and 16 November will play host to 122 feature films, guests of honour ...