Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba kuhakikisha kunakuwa na kasi ya utekelezaji wa ahadi na Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2025/30 ili kazi zote zitimizwe ...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema nafasi ya uwaziri mkuu haihitaji urafiki, undugu na jamaa, badala yake ni nafasi ya kulitumikia Taifa.