Mahakama Kuu kanda ya Moshi, imemhukumu kutumikia kifungo cha miaka 12 jela, mkazi wa Masama Nguni Wilaya ya Hai, Vicent Timoth (25), kwa kosa la kumuua mmoja wa wageni waliohudhuria harusi ...