![](/rp/kFAqShRrnkQMbH6NYLBYoJ3lq9s.png)
Mwananchi | Mwananchi
Habari za kitaifa na kimataifa, uchambuzi wa kina, michezo, burudani na zaidi kutoka Mwananchi.
Serikali yaanika hatua za ukarabati wa meli Ziwa Tanganyika
1 day ago · Dodoma. Serikali imetaja mkakati wa ukarabati wa meli katika Ziwa Tanganyika na kuwa mwezi ujao (Machi) ujenzi wa meli ya Mv Sangara utakuwa umekamilika. Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile ametoa kauli hiyo bungeni Dodoma leo Februari 14, 2025, kuwa Serikali ilishaanza mkakati wa ukarabati wa ...
Waziri wa Mifugo na Uvuvi ashinda kesi madai ya Sh1 bilioni
10 hours ago · Dar es Salaam. Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi ameibuka mshindi katika kesi ya madai ya zaidi ya Sh1 bilioni iliyofunguliwa na mfanyabiashara wa jijini Dar es Salaam, Shenaz Halari baada ya maofisa wa wizara kukamata nyavu zake za uvuvi. Hukumu dhidi ya kesi hiyo ambapo Mwanasheria Mkuu wa ...
EU yamwaga Sh17.8 bilioni kuimarisha demokrasia, utawala wa …
1 day ago · Dar es Salaam.Jumuiya ya Ulaya (EU) imetoa ufadhili wa zaidi ya Sh17. 8 bilioni kwa asasi za kiraia 11 nchini Tanzania, kwa lengo la kukuza demokrasia kwa kujenga jamii yenye uwazi, haki, na ujumuishi zaidi, kwa kuimarisha sauti za wananchi na taasisi.
Wanafunzi wafunuliwa faida za uwekezaji mitaji | Mwananchi
1 day ago · Mkuu wa UTT AMIS tawi la Mwanza, Ligwa Temela (kushoto) akimueleza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda kazi zinazofanywa na taasisi hiyo wakati wa maadhimisho ya miaka 20 ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu Juu (HESLB) yaliyofanyika leo jijini Mwanza. Picha na Saada Amir Mwanza. Zaidi ya ...
Mechi nne kutimua vumbi Ligi Kuu | Mwananchi
1 day ago · Kuna mechi nne za kuchezesha karata ngumu. Ni leo jioni majibu yote yatapatikana. Mjadala mkubwa zaidi ukiwa kwa Yanga na KMC pale Mwenge, Dar es Salaam. Rekodi zinaonyesha kuwa mbaya kwa KMC kwani mechi 13 walizowahi kukutana na Yanga kwenye ligi imeambulia ushindi mara moja na sare mbili. KMC ...
Makonda ataka wanaojenga kuwa na mpango wa kupanda miti
6 hours ago · Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda akizungumza leo Jumamosi Februari 15, 2025 katika eneo la Shangarai,barabara kuu ya Moshi- Arusha, wakati wa uzinduzi wa zoezi la upandaji miti na usafi kwa Mkoa wa Arusha. Arusha. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ameagiza mamlaka zinazohusika na kutoa ...
Habari | Mwananchi
Adaiwa kujiua kisa kuambiwa mtoto aliyekuwa akimtunza siyo wake Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga alipotafutwa na Mwananchi Digital kuthibitisha kutokea kwa kifo hicho hakuweza kupatikana hivyo jitihada bado zinaendelea.
Mbowe: Twendeni tukaionyeshe dunia tunaweza kujijenga ndani …
Jan 20, 2025 · Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kuelekea mkutano mkuu wa chama hicho kesho, ni nafasi ya kuionyesha dunia wanavyoweza kujijenga ndani ya tofauti zilizopo. Amesema watu wengi wanaiangalia Chadema, wakiwemo wale wa macho ya husda na wivu na wangetamani kuona mkutano huo ...
Vijiji 23 vinavyopambana mahakamani kujinasua kufutwa Mbarali
5 days ago · Dar es Salaam. Baada ya Mahakama Kuu Masjala Ndogo Mbeya kutupilia mbali moja kati ya kesi mbili zilizofunguliwa mahakamani hapo na wananchi kutoka vijiji 23 vikipinga kusudio la Serikali kutaka kuvifuta, sasa wananchi hao wanakwenda Mahakama ya Rufani kupambana kurejesha kesi hiyo ili wapate kusikilizwa.